
About
Send us Fan Mail
Katika somo hili utapata majibu ya maswali mengi ambayo umekuwa ukijiuliza.
Mfano:
Nahisi Roho Mtakatifu yupo mbali nami, tatizo ni nini?
Nahisi Roho Mtakatifu hanisikii nikiomba, tatizo ni nini?
Nahisi Roho Mtakatifu ameniacha, tatizo ni nini?
Nahisi siisikii sauti ya Roho Mtakatifu vizuri, tatizo ni nini?
Katika somo hili kuhusu Roho Mtakatifu utajifunza mambo mengi sana yatakayokusaidia kukupa amani na tumaini jipya juu ya mahusiano yako na Roho Mtakatifu.
Mungu akubariki sana.
Ubarikiwe sana.
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect