zeno
Create a Station
Explore
Religious
Music
News
Podcasts
Bible
By Genre
By Location
By Language
Download App
Toggle Sidebar
zeno
Innocent Morris
Innocent Morris
Christianity
How To
Self-Improvement
Swahili
Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi
Website
Episodes
114
20 April 2026
MAMBO 6 YANAYOWEZA KUHARIBU URAFIKI WAKO NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris
Send us Fan MailKatika somo hili utajifunza mambo 6 yanayoweza kuharibu urafiki wako na Roho Mtakatifu, na jinsi ya kuyaepuka ili uendelee kuwa na maisha ya kiroho yenye nguvu na ushirika wa karibu na Mungu.Maandiko yanatuonya:"Wala msimhuzunishe Roho Mtakatifu wa Mungu."Waefeso 4:30Somo hili litakusaidia:Kuelewa mambo yanayomfanya Roho Mtakatifu ahuzunike.Kujifunza jinsi ya kulinda ushirika wako...
1 h 1 min
13 April 2026
JINSI YA KUJENGA URAFIKI WA KARIBU SANA NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris
Send us Fan MailIkiwa una kiu na unatamani sana kuwa na urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu; na hujui nini cha kufanya ili uwe na urafiki naye wa karibu. Karibu ujifunze katika somo hili.Hakika somo hili litakusaidia sana kujua jinsi ya kujenga urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu.Chukua pen na notebook ujifunze sasa.Ubarikiwe sanaContact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page:...
1 h 3 min
13 April 2026
JINSI YA KUISHI NA ROHO MTAKATIFU KAMA RAFIKI WA KARIBU - Innocent Morris
Send us Fan MailMungu akubariki sana.Ubarikiwe sana.Contact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
56 min
25 March 2026
MAOMBI YA UPONYAJI - Innocent Morris
Send us Fan MailHaya ni maombi ya uponyaji kwa wagonjwa. Omba kwa imani utapokea uponyaji wako."Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe hai kwa mambo ya haki; na kwa kupigwa kwake mliponywa."1 Petro 2:24Ubarikiwe sana.Contact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect
34 min
29 January 2026
MAOMBI YA ASUBUHI - Innocent Morris
Send us Fan MailHaya ni maombi ya kuomba kila siku asubuhi. Asubuhi yako anza na Bwana. Mtangulize Bwana katika siku yako, katika kazi yako, katika biashara yako, katika interview, katika safari, katika kila eneo la maisha yako.Hakika utamuona Bwana Yesu akitenda katika siku yako.Contact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact:...
23 min
13 January 2026
JINSI YA KUFUNGA MFUNGO SAHIHI KIBIBLIA - Innocent Morris
Send us Fan MailKatika somo hili utajifunza JINSI YA KUFUNGA MFUNGO SAHIHI KIBIBLIA, utajifunza hatua kwa hatua namna ambavyo Biblia imeelekeza mfungo sahihi na wenye kuleta matokeo. Hakika ni somo zuri sana litakalo kusaidia katika maisha yako ya maombi.Contact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
1 h 5 min
03 January 2026
MAOMBI YA KUOMBEA MWAKA 2026 - Innocent Morris
Send us Fan MailKaribu kwenye maombi maalum ya kuombea mwaka 2026! Katika naombi haya, tunamwomba Mungu kwa ajili ya ulinzi, baraka, mafanikio, na mwongozo wake kwa kila siku ya mwaka huu mpya. Tukiwa na imani, tunatangaza ushindi juu ya kila changamoto na kushukuru kwa kila fursa mpya.Jiunge nasi katika maombi haya yenye nguvu na amani, huku tukimkabidhi Bwana mipango yetu, familia zetu, na...
1 h 43 min
03 January 2026
UNABII WA MWAKA MPYA 2026 | Innocent Morris
Send us Fan MailKatika podikasti hii utapata kujua Mungu anasema nini juu ya mwaka huu mpya wa 2026. Utapata neno la kutembea nalo mwaka huu wote. Na pia utapata ahadi za Bwana juu yako maisha yako katika mwaka huu mpya wa 2026.Pia utajifunza namna ya kuishi maisha ya kumiliki katika mwaka mpya wa 2026.Contacts: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit...
22 min
24 November 2025
MAOMBI YA KUNG'OA MAPANDO YA ADUI -Innocent Morris
Send us Fan MailOmba Mungu aondoe kitu chochote kilicho kaa ndani yako ambacho kinakuzuia usisonge mbele katika eneo lolote la maisha yako.MSTARI:"Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa."Mathayo 15:13Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)
1 h 33 min
14 November 2025
JIFUNZE KUAMKA USIKU KUOMBA - Innocent Morris
Send us Fan MailKuna nguvu ya kipekee inayofichwa kwenye maombi ya usiku! Na maombi ya usiku ni maombi yenye matokeo makubwa katika maisha ya mtu. Katika somo hili utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kujizoeza kuamka bila kuchoka na kufurahia maombi ya usiku.Sikiliza sasa somo hili.Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit...
58 min