
20 April 2026
MAMBO 6 YANAYOWEZA KUHARIBU URAFIKI WAKO NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris
Innocent Morris
About
Send us Fan Mail
Katika somo hili utajifunza mambo 6 yanayoweza kuharibu urafiki wako na Roho Mtakatifu, na jinsi ya kuyaepuka ili uendelee kuwa na maisha ya kiroho yenye nguvu na ushirika wa karibu na Mungu.
Maandiko yanatuonya:
"Wala msimhuzunishe Roho Mtakatifu wa Mungu."
Waefeso 4:30
Somo hili litakusaidia:
- Kuelewa mambo yanayomfanya Roho Mtakatifu ahuzunike.
Kujifunza jinsi ya kulinda ushirika wako na Mungu.
Kukua katika maisha ya utakatifu na utii.
Ubarikiwe sana.
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect