JINSI YA KUMFURAHISHA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris
24 May 2026

JINSI YA KUMFURAHISHA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris

Innocent Morris

About

Send us Fan Mail

Katika somo hili, utajifunza kwa undani jinsi ya kuishi maisha yanayompendeza Roho Mtakatifu kila siku. Utajifunza mambo yanayomhuzunisha na mambo yanayomfurahisha.

"Wala msimhuzunishe yule Roho Mtakatifu wa Mungu; ambaye kwa yeye mlitiwa muhuri hata siku ya ukombozi."
Waefeso 4:30

Roho Mtakatifu anahitaji heshima, utii, na ushirika wa karibu. Kadiri unavyojifunza kumheshimu na kumtii, ndivyo utakavyoona kazi yake kwa nguvu zaidi katika maisha yako.

Ubarikiwe sana.

Innocent Morris

Contact: +255652796450 (WhatsApp)

Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect