Skip to content
Opens in a new window
JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 2 - Innocent Morris
19 August 2026

JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 2 - Innocent Morris

Innocent Morris

About

Send us Fan Mail

 Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho?

Katika sehemu hii ya Pili (Part 2) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe!

Na utajifunza zaidi nini kinasababisha moto wa maombi kuzimika. Pia utajifunza hatua za kwanza za kuuwasha tena moto uliozimika.

Sikiliza sasa somo hili.

Usisahau KUSHARE, na KULIKE episodi hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi!

Ubarikiwe sana.

Innocent Morris
+255652796450 (WhatsApp)

Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Tiktok: hscworship