20 October 2026
YEMEN: Vita vuazidisha njaa na magonjwa, zaidi ya watu 250,000 wakimba makazi yao
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
About
Zaidi ya watu 250,000 wamekimbia makazi yao kutokana na mapigano mapya nchini Yemen, huku uhaba wa chakula, maji safi na dawa ukizidisha hali mbaya ya kibinadamu. Umoja wa Mataifa unaonya kuwa mji wa Taiz uko katika hatari kubwa, huku njia za kupeleka misaada zikifungwa na hospitali zikikabiliwa na upungufu wa mafuta na hewa ya oksijeni. Flora Nducha na taarifa zaidi.