UNMISS: Kwa raia wa Nasir nchini Sudan Kusini “kila penye giza nuru haikosekani”
24 April 2026

UNMISS: Kwa raia wa Nasir nchini Sudan Kusini “kila penye giza nuru haikosekani”

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Mwaka mmoja baada ya mapigano makubwa kusababisha vifo na kuwafanya maelfu ya watu kuyahama makazi yao mjini Nasir, jimbo la Upper Nile, dalili za ahuweni zinaanza kuonekana. Wakazi wanarejea polepole, wakijenga upya maisha yao na kurejesha hali ya kawaida kwa msaada wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Sudan Kusini UNMISS. Flora Nducha anasimulia zaidi