UN: Buriani Jane Goodall, mwanamazingira na mtaalamu wa sokwe
03 October 2025

UN: Buriani Jane Goodall, mwanamazingira na mtaalamu wa sokwe

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Kufuatia kifo cha Jane Goodall  mwanamazingira, mtaalamu wa sokwe na nyani, halikadhalika mjumbe wa amani kilichotokea Jumatano Oktoba 1 leo tunakurejesha mwaka 2002 alipoteuliwa kuwa mjumbe wa amani,  halikadhalika salamu za rambirambi kufuatia kifo chake. Assumpta Massoi anakuletea taarifa zaidi kuhusu mwanamazingira huyo aliyefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91.