
20 February 2026
Ukata WFP wasababisha mtu 1 tu kati ya 7 apatiwe msaada wa chakula
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
About
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP limesema hali ya upatikanaji wa chakula nchini Somalia imefikia hatua mbaya ambapo watu milioni 4.4 hivi sasa wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula na kwamba ni mtu 1 tu kati ya 7 ndiye anayepata mgao wa chakula. Rashid Malekela na taarifa zaidi.