Mkuu wa UNHCR ahimiza mshikamano na suluhu zaidi kwa wakimbizi Kenya
12 January 2026

Mkuu wa UNHCR ahimiza mshikamano na suluhu zaidi kwa wakimbizi Kenya

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Katika ziara yake ya kwanza rasmi iliyofanyika nchini Kenya kama Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Wakimbizi, Barham Salih ametoa wito wa kuimarishwa kwa mshikamano wa kimataifa na uwekezaji endelevu ili kuwasaidia wakimbizi kujenga upya maisha yao, akionya kuwa upungufu mkubwa wa ufadhili unatishia kurudisha nyuma mafanikio yaliyopatikana kwa juhudi kubwa katika ulinzi na kujitegemea kwa wakimbizi. Flora Nducha na taarifa zaidi