Skip to content
Opens in a new window
Majanga ya tabianchi yavuruga masomo ya watoto milioni 171 duniani - UNICEF
11 September 2026

Majanga ya tabianchi yavuruga masomo ya watoto milioni 171 duniani - UNICEF

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Zaidi ya wanafunzi milioni 171 duniani sawa na mwanafunzi mmoja kati ya kila kumi wa umri wa kusoma shule  walikumbwa na usumbufu wa masomo kutokana na majanga ya tabianchi mwaka 2025 kwa mujibu wa uchambuzi mpya uliotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF. Taarifa ya Flora Nducha inafafanua zaidi