Skip to content
Opens in a new window
Katibu Mkuu awaenzi waathirika wa Septemba 11: “Ni shambulio dhidi ya ubinadamu wenyewe”
11 September 2026

Katibu Mkuu awaenzi waathirika wa Septemba 11: “Ni shambulio dhidi ya ubinadamu wenyewe”

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Miaka 25 baada ya mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11, 2001, yaliyotikisa Marekani na dunia nzima, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amewaenzi karibu watu elfu tatu waliopoteza maisha, manusura na wahudumu wa huduma ya  kwanza waliojitolea kuokoa wengine. Kwa wale waliokuwa New York siku hiyo, kumbukumbu ya mashambulizi hayo bado ni ya hofu, mshikamano na athari ambazo zinaendelea kusikika hadi leo. Anold Kayanda anatupasha zaidi