Katibu Mkuu akaribisha kuchaguliwa kwa Barham Ahmed Salih wa Iraq MKUU wa UNHCR
19 December 2025

Katibu Mkuu akaribisha kuchaguliwa kwa Barham Ahmed Salih wa Iraq MKUU wa UNHCR

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, amekaribisha hatua ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ya hapo jana kumchagua Rais Mstaafu wa Iraq, Barham Ahmed Salih wa kuwa Kamishna Mkuu ajaye wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, kwa muhula wa miaka mitano ijayo. Selina Jerobon na taarifa zaidi.