Skip to content
Opens in a new window
JIFUNZE KISWAHILI - NENO KARAKARA
18 August 2026

JIFUNZE KISWAHILI - NENO KARAKARA

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Sasa umewadia wasaa wa kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA. Anafafanua maana za neno "KARAKARA"