
13 November 2025
Jifunze Kiswahili: Maana za neno "KASIMU".
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
About
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo, mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA. Anafafanua maana za neno "KASIMU".