
11 November 2025
Jifunze Kiswahili: Maana ya methali "CHA KIPOFU KI MKONONI MWAKE"
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
About
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili, leo mchambuzi wetu ni Daktari. Josephat Gitonga, ambaye ni Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya, kwenye kitivo cha Tafsiri na Ukalimani anafafanua maana ya methali "CHA KIPOFU KI MKONONI MWAKE"