Skip to content
Opens in a new window
Huku sandarusi, huku mahema: Wakazi wa ukanda wa Gaza wanajiandaa na mafuriko na baridi kali
20 October 2026

Huku sandarusi, huku mahema: Wakazi wa ukanda wa Gaza wanajiandaa na mafuriko na baridi kali

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Wakati msimu wa baridi unapoanza, familia zilizohama makazi yao huko Gaza eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israel zinajaza mchanga kwenye sandarusi tupu ya unga uliotolewa kama msaada ili kuzuia maji ya mvua kuingia ndani ya mahema yao, wakati huo huo Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) likionya kuwa vifaa vya makazi vitakidhi sehemu ndogo tu ya mahitaji yaliyopo. Tutape taarifa zaidi kutoka kwa Leah Mushi.