Hali ya Darfur ni jinamizi linalotia hofu kubwa - Chaloka Beyani
19 December 2025

Hali ya Darfur ni jinamizi linalotia hofu kubwa - Chaloka Beyani

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Umoja wa Mataifa unaendelea kuonesha wasiwasi mkubwa kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu katika eneo la Darfur, Sudan, ukionya kuwa mashambulizi yanayolenga makundi maalum ya watu yanaweza kuashiria hatari kubwa zaidi ya mauaji ya kimbari. Flora Nducha na Taarifa zaidi