06 November 2026
Yaliyojiri Afrika: WHO yaidhinisha majaribio ya chanjo mbili mpya za Ebola DRC
SBS Swahili - SBS Swahili
About
Shirika la Afya Duniani (WHO) lime idhinisha majaribio ya chanjo mbili mpya, dhidi ya ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.