Skip to content
Opens in a new window
Uko tayari ndani ya mfumo | Jinsi Australia inavyofanya kazi
28 September 2026

Uko tayari ndani ya mfumo | Jinsi Australia inavyofanya kazi

SBS Swahili - SBS Swahili

About
Je, serikali, sheria, na huduma za umma za Australia huathirije maisha yako ya kila siku? Kupitia matukio halisi, sehemu hii ya utangulizi ya mfululizo huu inakuonyesha pa kuanzia unapohitaji taarifa na msaada, pamoja na jinsi ya kupinga uamuzi.

"How Australia Works" ni podikasti ya SBS inayotumia hadithi halisi na maelezo ya wazi kukusaidia kuelewa jinsi serikali inavyofanya kazi nchini Australia, jinsi sheria zinavyotungwa na kubadilishwa, na jinsi unavyoweza kutoa maoni yako. Sikiliza mfululizo huu na upate matoleo mafupi zaidi katika lugha 60 kwenye ukurasa mkuu wa "How Australia Works".