28 September 2026
Travelling safely in rural and remote Australia - Australia Yafafanuliwa:Kusafiri kwa usalama katika maeneo ya vijijini na yaliyo mbali nchini Australia
SBS Swahili - SBS Swahili
About
Australia is a vast and diverse country to explore, but driving in rural and remote areas can involve conditions you may not encounter in cities. Knowing what to expect and how to prepare can help you travel more safely and confidently. - Australia ni nchi kubwa na yenye mambo mengi ya kuvutia ya kugundua, lakini kuendesha gari katika maeneo ya vijijini na yaliyo mbali kunaweza kuhusisha hali ambazo huenda usikutane nazo mijini. Kujua nini cha kutarajia na jinsi ya kujiandaa kunaweza kusaidia kusafiri kwa usalama zaidi na kwa kujiamini.