13 November 2026
Taarifa ya habari:Waziri Mkuu Albanese akosolewa katika mkutano wa kilele kuhusu tabianchi
SBS Swahili - SBS Swahili
About
Seneta huru David Pocock, amemkosoa Waziri Mkuu Anthony Albanese kwa kushindwa kutaja nishati ya visukuku katika wito wake wa kuchukua hatua za kimataifa kuhusu tabianchi.
#sbsaudiopodcast
#sbsaudiopodcast