09 November 2026
Taarifa ya Habari: Vijana wahalifu kuwekwa kizuizini hadi mwaka mmoja kupitia sera mpya kali Victoria
SBS Swahili - SBS Swahili
About
Chama cha Labor cha jimbo la Victoria kimeahidi sera mpya kali dhidi ya uhalifu, ambayo inaweza kuwaweka vijana wahalifu kizuizini kwa lazima kwa hadi mwaka mmoja.
#sbsaudiopodcast
#sbsaudiopodcast