Opens in a new window
Umuhımu wa neno la Mungu katıka Maombı
13 July 2026

Umuhımu wa neno la Mungu katıka Maombı

Pastor Neema Tony Osborn

About

Maisha ya Mkristo hujengwa na kuimarishwa kupitia kile Mungu amesema. Humpa mtu hekima, humwongoza katika maamuzi, huimarisha imani, na humwezesha kushinda changamoto za maisha. Anayaliishi kila siku huendelea kubadilishwa tabia, hukua kiroho, na kutembea katika mapenzi ya Mungu.


Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give