
About
Maombi ni daraja la roho kuunganishwa na Mungu, si desturi ya kawaida bali ushirika wa upendo na imani.
Kupitia maombi roho hupata nguvu, faraja na mwongozo wa Mungu.Ni mahali pa kuzungumza na kusikiliza mapenzi ya Mungu kwa maisha yetu.Ndipo mbingu na dunia huunganishwa kwa kusudi moja.
Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give