Kumtegemea Mungu III
09 January 2026

Kumtegemea Mungu III

Pastor Neema Tony Osborn

About

Kuweka tumaini letu lote kwake kwa moyo wa imani bila hofu wala mashaka. Kutambua kwamba nguvu, hekima, na msaada wa kweli hutoka kwake yeye peke yake. Katika kila hali, iwe ya furaha au changamoto, tunajifunza kusimama imara tukijua hatatuacha wala kututupa. Hili hujenga amani ya ndani na hutupa ujasiri wa kuendelea mbele bila kukata tamaa.


Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give