Opens in a new window
Kanunı Katıka Maombı
31 July 2026

Kanunı Katıka Maombı

Pastor Neema Tony Osborn

About

Jifunze misingi inayokuwezesha kusimama imara unapomkaribia Mungu katika maombi. Ujumbe huu unaeleza namna ya kuomba kwa imani, uelewa, na kutegemea Neno la Mungu. Utakusaidia kujenga maisha ya maombi yenye matokeo na ushirika wa karibu zaidi na Mungu. Sikiliza na uanze kuona mabadiliko katika safari yako ya kiroho.


Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give