Opens in a new window
Hekıma yakukupa Kujua nını Chakufanya
27 July 2026

Hekıma yakukupa Kujua nını Chakufanya

Pastor Neema Tony Osborn

About

Kila hatua ya maisha huhitaji uongozi wa Mungu ili kufanya maamuzi sahihi.Jifunze jinsi ya kutambua sauti ya Mungu na kutembea katika mapenzi yake kila siku.Ujumbe huu utakutia moyo kumtegemea Mungu katika kila uamuzi unaokabili.
Acha Neno la Mungu likuongoze kwenye njia ya ushindi na kusudi lake kwa maisha yako.


Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give