Avoıdıng Wrong Prayer Poınts
27 May 2026

Avoıdıng Wrong Prayer Poınts

Pastor Neema Tony Osborn

About

Si kila ombi linaelekea kwenye kusudi sahihi .Hekima katika maombi hukusaidia kuomba kwa mapenzi na uongozi wa Mungu.Maombi yasiyo sahihi yanaweza kuchelewesha ufahamu na ukuaji wa kiroho.Omba kwa utambuzi, kweli, na moyo unaoongozwa na Roho Mtakatifu.


Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give