
18 October 2025
Kenya yaomboleza kifo cha RAILA, Jukwaa jipya la kisiasa DRC lazinduliwa
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
About
Miongoni mwa matukio makubwa yaliyojiri wiki hii ni pamoja na wakenya kuomboleza kifo cha mwanasiasa mashuhuri aliyewahi kuwa waziri mkuu wa nchi hiyo Raila Amolo Odinga, kuzinduliwa kwa jukwaa jipya la kisiasa : Okoa DR Congo, kuendelea kwa kampeni za kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu kule Tanzania, kuapishwa kwa kiongozi wa kijeshi wa Madagascar, na matukio mengine duniani.