Skip to content
Opens in a new window
Wanaharakati Kenya wadai kuachwa huru kwa Lisu na Besigye, Tshisekedi azuru Israeli
05 September 2026

Wanaharakati Kenya wadai kuachwa huru kwa Lisu na Besigye, Tshisekedi azuru Israeli

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

About

Makala hii imeangazia maandamano ya wanaharakati wa Kenya wakidai kuachwa huru kwa wapinzani Tundu Lisu huko Tanzania, na Kiiza Besigye huko Uganda, wanaokabiliwa na mashitaka ya uhaini, ziara ya rais Felix Tshisekedi huko Israeli, umoja wa mataifa kutaka serikali ya Zambia kuacha kukandamiza wapinzani baada ya uchaguzi, na mvutano kati ya Morocco na Uhispania, mashambulio makali kati ya Marekani na Iran baada ya kukwama kwa juhudi za kidiplomasia kati yao.