03 October 2026
Uzinduzi wa kiwanda cha mafuta cha Dangote, na kifo cha Chivayo huko Zimbabwe
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
About
Miongoni mwa yaliyojiri wiki hii ni pamoja na uzinduzi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote, huko Lamu, pwani ya Kenya, mapigano yaendelea huko Ethiopia, kifo cha bilionea wa Zimbabwe, kutawazwa kwa mfalme wa Tooro, rais wa Nigeria Tinubu, aahidi kupunguza gharama ya maisha na ajira zaidi, rubani amchoma kisu mwenzake ndani ya ndege iliyokuwa ikielekea Israel, na mengineyo