Skip to content
Opens in a new window
Raia wa Burundi waondoka Kenya, mioto yaangamiza shule, kumbi za Harusi DRC
12 September 2026

Raia wa Burundi waondoka Kenya, mioto yaangamiza shule, kumbi za Harusi DRC

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

About

Raia wa Burundi walivyokumbwa na masaibu jijini Nairobi, Kenya wengine wakaamua kuondoka, ajali ya mioto iliyotokea nchini DRC, kuanzia Kinshasa wakati wa sherehe ya harusi, kuja Bukavu Kivu kusini ambapo wanafunzi wengi walikufa katika moto ulioshika shule moja, huku ajali ya moto ikiripotiwa mjini Goma, Kivu kaskazini; mazishi ya mfalme wa Tooro huko Uganda kufanyika jumamosi hii, hali nchini Tanzania na Kenya, lakini pia yaliyojiri Afrika magharibi, na kwengineko duniani.