Skip to content
Opens in a new window
Mahakama ya  haki yaratibu vikao vya kusikiliza kesi iliyowasilishwa na DRC dhidi ya Rwanda
08 August 2026

Mahakama ya haki yaratibu vikao vya kusikiliza kesi iliyowasilishwa na DRC dhidi ya Rwanda

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

About

Mahakama ya Kimataifa ya Haki wiki hii iliratibu vikao vya kuskiliza kesi iliyowaislishwa na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo dhidi ya Rwanda, ambapo Kinshasa inaituhumu Kigali kwa kukiuka mikataba minne ya kimataifa ikiwemo mkataba wa mauaji ya kimbari, mkataba wa kupinga mateso na mkataba wa kutokomeza aina zote za ubaguzi dhidi ya wanawake.