14 November 2026
Kundi la FRN lakabiliwa na vikwazo vya UN, mkutano wa COP31 kuendelea Antalya
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
About
Umoja wa mataifa waliongeza kundi la waasi la DRC FRN kwenye orodha ya vikwazo, nchini Kenya kupatikana kwa wakili aliyekuwa ametekwa Ahmed Sadiq AbdiAbshir,pia yalitamatishwa mashindano ya Olimpiki, ya vijana iliyofanyika Dakar nchini Senegal, Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa atoa wito wa haki sawa chini ya sheria ya kimataifa; Iran yaonya kuhusu kulipiza kisasi zaidi huku Israel ikiripotiwa kuwa tayari kushambulia, na mkutano wa umoja wa mataifa kuhusu tabia nchini huko Antalya, UturukiĀ