Skip to content
Opens in a new window
Kiir avunja serikali kuelekea Uchaguzi mkuu wa Sudan Kusini, mapigano mapya yaanza nchini Ethiopia.
27 September 2026

Kiir avunja serikali kuelekea Uchaguzi mkuu wa Sudan Kusini, mapigano mapya yaanza nchini Ethiopia.

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

About

Taarifa kuu utakayoskia kwenye makala haya ni pamoja na Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir avunja serikali kuelekea Uchaguzi mkuu wa mwezi Disemba.

Kwingineko nchini Ethiopia, mapigano mapya yameanza tena kati ya vikosi vya Tigray na jeshi la nchi hiyo. Utaskia pia punde zaidi katika mkutano wa UNGA nchini Marekani.