Skip to content
Opens in a new window
ADF yaua watu mjini Kantine-Aloya huko DRC, Lisu ahukumiwa miaka minne jela Tanzania
07 November 2026

ADF yaua watu mjini Kantine-Aloya huko DRC, Lisu ahukumiwa miaka minne jela Tanzania

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

About

Watu zaidi ya 30 wauawa katika shambulio la ADF kwenye mji wa Cantine-Aloya mashariki mwa DRC; mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alihukumiwa kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi, nchini Kenya mchungaji aliyewaaminisha waamini wa kanisa lake wafunge kula hadi kufa ili waende kumuona Yesu Paul Mackenzie alihukumiwa kifungo cha miaka 200 jela kwa kupatikana na kosa la mauaji, hali nchini Sudan, huko Senegal, matokeo ya uchaguzi wa katikati ya muhula, pigo kwa Republican, Marekani.