Skip to content
Opens in a new window
ADF wajinufaisha na madini huko DRC, maadhimisho ya mwaka1 wa vurugu Tanzania
31 October 2026

ADF wajinufaisha na madini huko DRC, maadhimisho ya mwaka1 wa vurugu Tanzania

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

About

Na miongoni mwa yaliyojiri wiki hii ni pamoja na Tanzania kuadhimisha mwaka mmoja baada ya vurugu zilizohusishwa na uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 mkutano wa siki mbili kati ya Urusi na viongozi wa Afrika, jijini Moscow, nchini Urusi, hali inavyojiri nchini DRC baada ya chama cha FRN kutangazwa, Sudan baada ya mashambulio ya ndege zisizo na rubani, Chad na Ufaransa kufikia makubaliano ya usalama, na uchaguzi wa urais nchini Israeli