Skip to content
Opens in a new window
Wanaharakati wa mazingira walalamikia athari za kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote Lamu
05 October 2026

Wanaharakati wa mazingira walalamikia athari za kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote Lamu

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

About

Licha ya faida za kiuchumi, mashirika ya mazingira na wanaharakati wa mazingira  wanasema kiwanda hicho ni tishio kwa mifumo ikolojia ya eneo la Pwani pamoja na riziki ya jamii katika eneo hilo.

Pamoja na Omar Elmawi, wakili wa mazingira na nishati  kutoka Mombasa, tunajadili mradi huu wa Dangote ambao ujenzi wake unatarajiwa kukamilika katika kipindi cha miezi 40 ijayo.