Opens in a new window
Juhudi za akina mama kuhifadhi fukwe za bahari pwani ya Kenya
21 July 2026

Juhudi za akina mama kuhifadhi fukwe za bahari pwani ya Kenya

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

About

Wakati mataifa mbalimbali duniani yakiongeza juhudi za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi na uchafuzi wa bahari, nchini Kenya akina mama wamejitokeza mstari wa mbele kulinda mazingira. Katika Kaunti ya Mombasa, wameanzisha kampeni ya kupanda miti ya asili na kurejesha uoto uliopotea kwenye maeneo ya pwani. .Hii leo katika makala mazingira leo dunia yako kesho ,tunaangazia juhudi za akina mama hao.