23 October 2026
Afrika: Nini nafasi ya masoko ya kaboni katika mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabianchi
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
About
Masoko ya kaboni, yapo kwa ajili ya kuwawajibisha watu na mashirika ambayo shughuli zao zinachangia katika uchafuzi wa hewa, ambapo wanahitajika kugharamia juhudi zinazofanywa na watu mbalimbali au jamii katika kupunguza hewa ya kaboni kwenye anga, kwa mfano upandani wa miti.
Nimemwalika, Zephaniah Kivungi, mkurugenzi wa tabianchi katika shirika la CIFF, ambaye atatusaidia kuelewa zaidi suala hili la masoko ya kaboni katika mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabianchi.