Regragui aondoka Morocco huku CAF ikiahirisha AFCON ya kina dada
07 March 2026

Regragui aondoka Morocco huku CAF ikiahirisha AFCON ya kina dada

Jukwaa la Michezo

About

Kwenye kipindi cha leo tumeangazia kuondoka kwa kocha mkuu wa Morocco Walid Regragui, Burkina Fason yapata kocha mpya, athari ya kuahirishwa kwa michuano ya WAFCON, vikwazo vya CAF dhidi ya Al Ahly, Faith Kipyegon aorodheshwa kwa mara ya tatu kuwania tuzo ya dunia ya Laureus. FIFA yatangaza sheria mpya za soka kuelekea Kombe la Dunia. Fred Kerley apigwa marufuku ya miaka miwili. Je, ni suala la muda tu Arsenal kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza au la?