Opens in a new window
Mbio za nusu fainali Kombe la Dunia, Kocha mpya wa Yanga ni nani?
11 July 2026

Mbio za nusu fainali Kombe la Dunia, Kocha mpya wa Yanga ni nani?

Jukwaa la Michezo

About

Tuliyokuandalia leo ni pamoja na uchambuzi wa raundi ya 16 bora na robo fainali michuano ya Kombe la Dunia, Misri na Morocco zikiaga mashindano, Mbappe na Messi wang'ang'ania kiatu cha dhahabu, Yanga yapata kocha mpya Manqoba Mngqithi kutoka Afrika Kusini, Emmanuel Wanyonyi avunja rekodi ya mita 1000m mashindano ya Diamond League, mchezo mpya wa Flag Football waendelea kukua na kupata umaarufu Afrika.