Opens in a new window
Kombe La Dunia 2026: Raundi ya 32 yakamilika, Morocco na Misri zafuzu 16 bora
04 July 2026

Kombe La Dunia 2026: Raundi ya 32 yakamilika, Morocco na Misri zafuzu 16 bora

Jukwaa la Michezo

About

Tuliyokuandalia leo ni mkusanyiko wa matukio ya raundi ya 32, je ni wakati timu changa kuanza kutamba? Timu mbili tu za Afrika kati ya tisa zafuzu kumi na sita bora, nini kimeiponza Afrika? uchambuzi wa raundi ya 16 bora inaanza leo, kiatu cha dhahabu na mechi za kufuzu Kombe la Dunia la wasichana chini ya miaka 17. Yanga yashinda ubingwa wa Tanzania kwa mara ya 32 huku DRC ikifuzu raundi ya pili michuano ya kufuzu Kombe la Dunia la basketboli.