
11 April 2026
FIFA Series: Kenya ni mwenyeji wa michuano hii ya kwanza kabisa ya kina dada
Jukwaa la Michezo
About
Leo tumeangazia mashindano ya kwanza kabisa ya kina dada ya FIFA Series inayoandaliwa nchini Kenya, timu tano zimetinga mchujo wa ligi kuu, ziara ya rais wa CAF Motsepe nchini Senegal, ligi ya mabingwa Afrika yaingia hatua ya nusu fainali, kocha Aliou Cisse atua nchini Angola, michuano ya kufuzu Kombe la Dunia la wasichana chini ya miaka 17, droo ya Afcon U17, michuano ya shule za upili za Afrika zakamililka, mageuzi ya mbio za marathon kwenye riadha za dunia, Ndala Ngambo haendi Kombe la Dunia