22 August 2026
Vieira ndiye kocha mpya wa Senegal, uwanja wa Talanta wafikia asilimia 95
Jukwaa la Michezo
About
Leo tunaangazia ushindi wa Cameroon taji la Wafcon, Patrick Vieira ndiye kocha mpya wa Senegal, Wanyonyi ang'ara riadha za Diamond League, bondia wa mwafrika kusini auawa nchini Afrika Kusini, uwanja wa Talanta umefikia asilimia 95 kukamilika, michuano ya kufuzu klabu bingwa kwa kina dada ukanda wa Cecafa yaanza, ratiba ya Kombe la Dunia la wanawake 2027 yatolewa, Shakhtar kutumia uwanja wa Stamford Bridge katika michuano ya Klabu Bingwa, Ligi za Ulaya zarejea.