Skip to content
Opens in a new window
Riadha za 2029 zatua Nairobi, ziara ya Motsepe Afrika Mashariki
19 September 2026

Riadha za 2029 zatua Nairobi, ziara ya Motsepe Afrika Mashariki

Jukwaa la Michezo

About

Tuliyokuandalia leo ni pamoja na Nairobi kushinda haki za kuandaa riadha za dunia mwaka 2029, michuano ya voliboli Kombe la Mataif ya Afrika ya wanaume, golikipa wa Senegal Edouard Mendy anuia kustaafu soka la kimataifa, ziara ya Motsepe Kenya na Tanzania kukagua viwanja vya Afcon 2027, ni kwa nini ligi ya Kenya haijaanza, michuano ya Cecafa U20, kocha mpya wa Ufaransa Zinadine Zidane ampa unahodha Kylian Mbappe, uchambuzi wa vichapo vya Arsenal, Spurs na Chelsea.