26 September 2026
Raundi ya kwanza kufuzu AFCON 2027 imekamilika, Fainali za Netboli na Voliboli
Jukwaa la Michezo
About
Tuliyokuandalia leo ni pamoja na matokeo na matukio ya raundi ya kwanza mechi za kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2027, fainali za mashindano ya netboli na voliboli Afrika na Cecafa U20, kambi ya Harambee Stars yakumbwa na misukosuko, je kocha McCarthy ana imani na shirikisho la soka Kenya?, Ligi ya Kenya kurejea, Lupita Nyong'o awekeza klabuni Nairobi City Thunder, je Mbappe anaweza kushinda Ballon d'Or mwaka huu, Man City yapatikana na hatia ya fedha