Skip to content
Opens in a new window
Misri yashinda ubingwa wa Afrika voliboli, Tanzania na Uganda mabingwa Cecafa
05 September 2026

Misri yashinda ubingwa wa Afrika voliboli, Tanzania na Uganda mabingwa Cecafa

Jukwaa la Michezo

About

Tuliyokuandalia ni pamoja na Misri kushinda ubingwa wa Afrika wa voliboli wa kina dada, Quieroz arejea Ghana huku Pitso Motsimane akiteuliwa kocha wa Afrika Kusini, Ligi ya Mabingwa Afrika yang'oa nanga, Tanzania na Uganda zashinda taji za Cecafa michuano ya shule za upili CAF, droo ya Afcon U20 yatolewa, riadha za Diamond League, kocha wa PSG Luis Enrique atia saini mkataba mpya, Djokovic abanduliwa mapema michuano ya US Open.