Skip to content
Opens in a new window
DAKAR 2026: Kenya yashinda dhahabu, Burundi yashinda shaba katika wiki ya kwanza
07 November 2026

DAKAR 2026: Kenya yashinda dhahabu, Burundi yashinda shaba katika wiki ya kwanza

Jukwaa la Michezo

About

Tuliyokuandalia leo - wiki ya kwanza kwenye michezo ya Olimpiki ya vijana Dakar, Senegal; Kenya yashinda dhahabu Huku Burundi ikishinda shaba. Michuano ya klabu bingwa kwa kina dada Afrika.Tiketi za mechi ya Bayern dhidi ya Ajax. Nigeria yatinga fainali ya Kombe La Dunia la wasichana chini ya miaka 17. Naibu rais wa FKF Mcdonald Mariga aondolewa katika wadhfa wake. Mshambuliaji wa Tenerife Jesus De Miguel afariki. Cristiano Ronaldo astaafu soka la kimataifa. Ligi Ya Mabingwa Ulaya.